Yeremia 23:33
“Wakati watu hawa, au nabii, au kuhani watakapokuuliza, ‘Mzigo wa Bwana ni nini?’ wewe utawaambia, ‘Ninyi ndio mzigo. Nami nitawavua kama vazi, asema Bwana.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Nabii, kuhani, au mtu yeyote akisema, ‘Huu ndio mzigo wa Bwana,’ nitamwadhibu huyo na nyumba yake.
Cross References
Deuteronomy 31:17Siku hiyo nitawakasirikia na kuwaacha; nitawaficha uso wangu, nao wataangamizwa. Maafa mengi na shida nyingi zitakuja juu yao, nao siku hiyo watauliza, ‘Je, maafa haya hayakuja juu yetu kwa sababu Mungu wetu hayuko pamoja nasi?’
2 Kings 23:27Hivyo Bwana akasema, “Nitamwondoa Yuda mbele zangu kama nilivyomwondoa Israeli, nami nitaukataa Yerusalemu, mji niliouchagua, na Hekalu hili, ambalo nilisema, ‘Jina langu litakaa humo.’ ”
Psalms 78:59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana, 2 akamkataa Israeli kabisa. 1
Isaiah 14:28Neno hili lilikuja mwaka ule Mfalme Ahazi alipofariki: 1
Jeremiah 7:15Nitawafukuza mbele yangu, kama nilivyowafanyia ndugu zenu, watu wa Efraimu.’
Jeremiah 17:15Wao huendelea kuniambia, 2 “Liko wapi neno la Bwana? 2 Sasa na litimie!” 1