Jeremiah 3:13
Ungama dhambi zako tu: 2 kwamba umemwasi Bwana Mungu wako, 1 umetapanya wema wako kwa miungu ya kigeni 2 chini ya kila mti unaotanda, 2 nawe hukunitii mimi,’ ” 4 asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 12:2Haribuni kabisa kila mahali pao pa kuabudia kwenye milima mirefu, vilima na chini ya kila mti mkubwa ambamo mataifa haya mnayokwenda kuchukua ardhi yao huabudia miungu yao.
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Jeremiah 2:20“Zamani nilivunja nira yako 2 na kukatilia mbali vifungo vyako; 2 ukasema, ‘Sitakutumikia!’ 1 Naam kweli, kwenye kila kilima kirefu 2 na chini ya kila mti uliotanda matawi yake 2 ulijilaza kama kahaba. 1
Jeremiah 3:2“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1
Jeremiah 3:25Sisi na tulale chini katika aibu yetu, 2 na fedheha yetu itufunike. 1 Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu, 2 sisi na mababa zetu; 1 tangu ujana wetu hadi leo 2 hatukumtii Bwana Mungu wetu.”
Jeremiah 7:26Lakini hawakunisikiliza wala hawakujali. Walikuwa na shingo ngumu na kufanya maovu kuliko baba zao.’