The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 3 › Yeremia 3:2

Yeremia 3:2

“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lift up thine eyes unto the high places, and see where thou hast not been lien with. In the ways hast thou sat for them, as the Arabian in the wilderness; and thou hast polluted the land with thy whoredoms and with thy wickedness.

In Context

1“Kama mtu akimpa talaka mkewe, 2 naye akamwacha na akaolewa na mtu mwingine, 1 je, huyo mume aweza kumrudia tena? 2 Je, hiyo nchi haitanajisika kabisa? 1 Lakini umeishi kama kahaba na wapenzi wengi: 2 je, sasa utanirudia tena?” 4 asema Bwana. 1

3Kwa hiyo mvua imezuiliwa, 2 nazo mvua za vuli hazikunyesha. 1 Hata hivyo, una uso usio na haya kama wa kahaba; 2 unakataa kutahayari kwa aibu. 1

Read all of Yeremia 3

Cross References

Genesis 38:14alivua mavazi yake ya ujane, akajifunika kwa shela ili asifahamike, akaketi kwenye mlango wa Enaimu, ambao upo njiani kuelekea Timna. Akafanya hivyo kwa sababu aliona kwamba, ingawa Shela amekua, lakini alikuwa hajakabidhiwa kwake kuwa mkewe.

1 Kings 11:3Alikuwa na wake 700 mabinti wa uzao wa kifalme, na masuria 300, nao wake zake wakampotosha.

Proverbs 7:11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, 2 miguu yake haitulii nyumbani; 1

Jeremiah 2:7Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu 2 ili mpate kula matunda yake 2 na utajiri wa mazao yake. 1 Lakini mkaja na kuinajisi nchi yangu, 2 na kuufanya urithi wangu chukizo. 1

Jeremiah 2:23“Wawezaje kusema, ‘Mimi si najisi, 2 sijawafuata Mabaali’? 1 Kumbuka jinsi ulivyotenda kule bondeni; 2 fikiri uliyoyafanya. 1 Wewe ni ngamia jike mwenye mbio 2 ukikimbia hapa na pale, 1

Jeremiah 3:9Kwa sababu uasherati wa Israeli haukuwa kitu kwake, Yuda aliinajisi nchi kwa kuzini na mawe na miti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 3:1Yeremia 3Yeremia 3:3 →