Jeremiah 3:21
Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, 2 kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, 1 kwa sababu wamepotoka katika njia zao 2 na wamemsahau Bwana Mungu wao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:32Malaika wa Bwana akamuuliza Balaamu, “Kwa nini umempiga punda wako mara tatu hizi? Nimekuja kukuzuia kwa sababu njia yako imepotoka mbele yangu.
Proverbs 10:9Mtu mwadilifu hutembea salama, 2 lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. 1
Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1
Jeremiah 2:32Je, mwanamwali husahau vito vyake, 2 au bibi arusi mapambo yake ya arusi? 1 Lakini watu wangu wamenisahau mimi, 2 tena kwa siku zisizo na hesabu. 1
Jeremiah 30:15Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, 2 yale maumivu yako yasiyoponyeka? 1 Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi 2 nimekufanyia mambo haya. 1
Jeremiah 31:18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: 2 ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, 2 nami nimekubali kutii. 1 Unirudishe, nami nitarudi, 2 kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu. 1