Yeremia 3:22
“Rudini, enyi watu msio waaminifu, 2 nami nitawaponya ukengeufu wenu.” 1 “Naam, tutakuja kwako, 2 kwa maana wewe ni Bwana Mungu wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 27:8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1
Jeremiah 30:17Lakini nitakurudishia afya yako 2 na kuyaponya majeraha yako,’ 4 asema Bwana, 1 ‘kwa sababu umeitwa mwenye kutupwa, 2 Sayuni ambaye hakuna yeyote anayekujali.’
Jeremiah 33:6“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama.
Hosea 3:5Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta Bwana Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa Bwana na kwa baraka zake katika siku za mwisho.
Hosea 13:4“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu, 2 niliyewaleta ninyi toka Misri. 1 Msimkubali Mungu mwingine ila mimi, 2 hakuna Mwokozi isipokuwa mimi. 1
Hosea 14:4“Nitaponya ukaidi wao 2 na kuwapenda kwa hiari yangu, 2 kwa kuwa hasira yangu imeondoka kwao. 1