Yeremia 3:4
Je, wewe hujaniita hivi punde tu: 2 ‘Baba yangu, rafiki yangu tangu ujana wangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wilt thou not from this time cry unto me, My father, thou art the guide of my youth?
In Context
Cross References
Psalms 71:5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi, 2 tegemeo langu tangu ujana wangu. 1
Psalms 119:9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? 2 Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. 1
Proverbs 2:17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake 2 na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 1
Jeremiah 2:27Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’ 2 nalo jiwe, ‘Wewe ndiwe uliyenizaa.’ 1 Wamenipa visogo vyao 2 wala hawakunigeuzia nyuso zao; 1 lakini wakiwa katika taabu, wanasema, 2 ‘Njoo utuokoe!’ 1
Jeremiah 31:9Watakuja wakilia; 2 wataomba wakati ninawarudisha. 1 Nitawaongoza kando ya vijito vya maji 2 katika mapito yaliyo tambarare ambapo hawatajikwaa, 1 kwa sababu mimi ndimi baba wa Israeli, 2 naye Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza. 1
Jeremiah 31:22Utatangatanga hata lini, 2 ee binti usiye mwaminifu? 1 Bwana ameumba kitu kipya duniani: 2 mwanamke atamlinda mwanaume.”