Yeremia 3:5
je, utakasirika siku zote? 2 Je, ghadhabu yako itaendelea milele?’ 1 Hivi ndivyo unavyozungumza, 2 lakini unafanya maovu yote uwezayo.” 1 Wito Kwa Ajili Ya Toba
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Je, wewe hujaniita hivi punde tu: 2 ‘Baba yangu, rafiki yangu tangu ujana wangu, 1
Cross References
2 Chronicles 29:10Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kuweka Agano na Bwana, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi.
Psalms 85:5Je, utatukasirikia milele? 2 Utaendeleza hasira yako kwa vizazi vyote? 1
Psalms 103:8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; 2 si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 1
Isaiah 64:9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Jeremiah 8:5Kwa nini basi watu hawa walipotea? 2 Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? 1 Wanangʼangʼania udanganyifu 2 na wanakataa kurudi. 1
Ezekiel 22:6“ ‘Ona jinsi kila mkuu wa Israeli aliyeko ndani yako anavyotumia nguvu zake kumwaga damu.