The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 30 › Yeremia 30:13

Yeremia 30:13

Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako, 2 hakuna dawa ya kidonda chako, 2 wewe hutapona. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is none to plead thy cause, that thou mayest be bound up: thou hast no healing medicines.

In Context

12“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Kidonda chako hakina dawa, 2 jeraha lako haliponyeki. 1

14Wale walioungana nawe wote wamekusahau, 2 hawajali chochote kukuhusu wewe. 1 Nimekupiga kama vile adui angelifanya, 2 na kukuadhibu kama vile mtu mkatili angelifanya, 1 kwa sababu hatia yako ni kubwa mno 2 na dhambi zako ni nyingi sana. 1

Read all of Yeremia 30

Cross References

Exodus 15:26Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya Bwana Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, niwaponyaye.”

Job 5:18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; 2 huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 1

Psalms 106:23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: 2 kama Mose mteule wake, 1 asingesimama kati yao na Mungu 2 kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 1

Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1

Jeremiah 8:22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?

Jeremiah 17:14Uniponye, Ee Bwana, nami nitaponyeka; 2 uniokoe nami nitaokoka, 2 kwa maana wewe ndiwe ninayekusifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 30:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 30:12Yeremia 30Yeremia 30:14 →