The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 8 › Yeremia 8:22

Yeremia 8:22

Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is there no balm in Gilead; is there no physician there? why then is not the health of the daughter of my people recovered?

In Context

21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; 2 ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 1

Read all of Yeremia 8

Cross References

Genesis 37:25Walipokaa ili wale chakula chao, wakainua macho wakaona msafara wa Waishmaeli ukija kutoka Gileadi. Ngamia wao walikuwa wamepakizwa mizigo ya vikolezo, uvumba na manemane, nao walikuwa njiani kuvipeleka Misri.

Numbers 32:1Kabila la Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ngʼombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.

Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1

Jeremiah 9:11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, 2 makao ya mbweha; 1 nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa 2 ili asiwepo atakayeishi humo.”

Jeremiah 30:12“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Kidonda chako hakina dawa, 2 jeraha lako haliponyeki. 1

Jeremiah 46:11“Panda hadi Gileadi ukapate zeri, 2 ee Bikira Binti wa Misri. 1 Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; 2 huwezi kupona. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 8:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 8:21Yeremia 8