Yeremia 30:7
Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! 2 Hakutakuwa na nyingine mfano wake. 1 Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, 2 lakini ataokolewa kutoka hiyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 32:7Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ngʼombe na ngamia.
Psalms 25:22Ee Mungu, wakomboe Israeli, 2 katika shida zao zote!
Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1
Jeremiah 30:10“ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 usifadhaike, ee Israeli,’ 4 asema Bwana. 1 ‘Hakika, nitakuokoa kutoka mbali, 2 wazao wako kutoka nchi ya uhamisho wao. 1 Yakobo atakuwa tena na amani na usalama, 2 wala hakuna atakayemtia hofu. 1
Jeremiah 50:33Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Watu wa Israeli wameonewa, 2 nao watu wa Yuda pia. 1 Wote waliowateka wamewashikilia sana, 2 wanakataa kuwaachia waende. 1
Lamentations 2:13Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? 2 Nikulinganishe na nini, 2 ee Binti Yerusalemu? 1 Nitakufananisha na nini, 2 ili nipate kukufariji, 2 ee Bikira Binti Sayuni? 1 Jeraha lako lina kina kama bahari. 2 Ni nani awezaye kukuponya? 1