The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 2 › Lamentations 2:13

Lamentations 2:13

Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? 2 Nikulinganishe na nini, 2 ee Binti Yerusalemu? 1 Nitakufananisha na nini, 2 ili nipate kukufariji, 2 ee Bikira Binti Sayuni? 1 Jeraha lako lina kina kama bahari. 2 Ni nani awezaye kukuponya? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

What thing shall I take to witness for thee? what thing shall I liken to thee, O daughter of Jerusalem? what shall I equal to thee, that I may comfort thee, O virgin daughter of Zion? for thy breach is great like the sea: who can heal thee?

In Context

12Wanawaambia mama zao, 2 “Wapi mkate na divai?” 1 wazimiapo kama watu waliojeruhiwa 2 katika barabara za mji, 1 maisha yao yadhoofikavyo 2 mikononi mwa mama zao. 1

14Maono ya manabii wako 2 yalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu, 1 hawakuifunua dhambi yako 2 ili kukuzuilia kwenda utumwani. 1 Maneno waliyokupa 2 yalikuwa ya uongo na ya kupotosha. 1

Read all of Lamentations 2

Cross References

Psalms 60:2Umetetemesha nchi na kuipasua; 2 uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka. 1

Jeremiah 8:22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?

Jeremiah 14:17“Nena nao neno hili: 1 “ ‘Macho yangu na yatiririkwe na machozi 2 usiku na mchana bila kukoma; 1 kwa kuwa binti yangu aliye bikira, yaani watu wangu, 2 amepata jeraha baya, 2 pigo la kuangamiza. 1

Jeremiah 30:12“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Kidonda chako hakina dawa, 2 jeraha lako haliponyeki. 1

Jeremiah 30:15Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, 2 yale maumivu yako yasiyoponyeka? 1 Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi 2 nimekufanyia mambo haya. 1

Lamentations 1:12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 2:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 2:12Lamentations 2Lamentations 2:14 →