Yeremia 31:13
Kisha wanawali watacheza na kufurahi, 2 vijana waume na wazee pia. 1 Nitageuza maombolezo yao kuwa furaha, 2 nitawapa faraja na furaha badala ya huzuni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Nitawashibisha makuhani kwa wingi, 2 nao watu wangu watajazwa kwa ukarimu wangu,” 4 asema Bwana.
Cross References
Nehemiah 12:27Wakati wa kuwekwa wakfu ukuta wa Yerusalemu, Walawi walitafutwa kule walikokuwa wakiishi, nao wakaletwa Yerusalemu kuadhimisha kwa shangwe huko kuweka wakfu kwa nyimbo za shukrani na kwa uimbaji wakitumia matoazi, vinubi na zeze.
Esther 9:22kama wakati ambao Wayahudi walipata nafuu kutoka kwa adui zao na kama mwezi ambao huzuni yao iligeuzwa kuwa furaha na kuomboleza kwao kuwa siku ya kusherehekea. Aliwaandikia kushika siku hizo kama siku za karamu na za furaha na kupeana zawadi za vyakula wao kwa wao na zawadi kwa maskini.
Psalms 126:5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1
Psalms 149:3Na walisifu jina lake kwa kucheza 2 na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 1
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.
Isaiah 51:11Wale waliolipiwa fidia na Bwana watarudi. 2 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa taji juu ya vichwa vyao. 1 Furaha na shangwe zitawapata, 2 huzuni na kulia kwa uchungu kutatoweka. 1