Isaya 62:5
Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, 2 ndivyo wanao + 62:5 Au: wajenzi wako. watakavyokuoa wewe; 1 kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, 2 ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Song of Solomon 3:11Tokeni nje, ninyi binti za Sayuni, 2 mkamtazame Mfalme Solomoni akiwa amevaa taji, 1 taji ambalo mama yake alimvika 2 siku ya arusi yake, 2 siku ambayo moyo wake ulishangilia.
Isaiah 62:4Hawatakuita tena Aliyeachwa, 2 wala nchi yako kuiita Ukiwa. 1 Bali utaitwa Hefsiba, + 62:4 Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia. 2 nayo nchi yako itaitwa Beula, + 62:4 Beula maana yake Aliyeolewa. 1 kwa maana Bwana atakufurahia, 2 nayo nchi yako itaolewa. 1
Jeremiah 32:41Nitafurahia kuwatendea mema, na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Zephaniah 3:17Bwana Mungu wako yu pamoja nawe, 2 yeye ni mwenye nguvu kuokoa. 1 Atakufurahia kwa furaha kubwa, 2 atakutuliza kwa pendo lake, 2 atakufurahia kwa kuimba.” 1
Hebrews 12:2Basi na tumtazame sana Yesu mwanzilishi na mkamilishaji wa imani yetu, yeye ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake alistahimili msalaba, bila kujali aibu ya huo msalaba, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.