Yeremia 33:6
“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
Psalms 67:2ili njia zako zijulikane duniani, 2 wokovu wako katikati ya mataifa yote. 1
Psalms 85:10Upendo na uaminifu hukutana pamoja, 2 haki na amani hubusiana. 1
Ecclesiastes 3:3wakati wa kuua na wakati wa kuponya, 2 wakati wa kubomoa, 2 na wakati wa kujenga, 2
Isaiah 11:5Haki itakuwa mkanda wake 2 na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake. 1
Isaiah 30:26Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati Bwana atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. 1