The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 11 › Isaya 11:5

Isaya 11:5

Haki itakuwa mkanda wake 2 na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And righteousness shall be the girdle of his loins, and faithfulness the girdle of his reins.

In Context

4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1

6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1

Read all of Isaya 11

Cross References

Psalms 45:4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, 2 kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, 2 mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 1

Psalms 93:1Bwana anatawala, amejivika utukufu; 2 Bwana amejivika utukufu 2 tena amejivika nguvu. 1 Dunia imewekwa imara, 2 haitaondoshwa. 1

Isaiah 25:1Ee Bwana, wewe ni Mungu wangu, 2 nitakutukuza na kulisifu jina lako, 1 kwa maana katika ukamilifu wa uaminifu 2 umetenda mambo ya ajabu, 2 mambo yaliyokusudiwa tangu zamani. 1

Hosea 2:20Nitakuposa kwa uaminifu, 2 nawe utamkubali Bwana. 1

Ephesians 6:14Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,

1 Peter 4:1Kwa hiyo, kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni nia iyo hiyo kwa maana mtu aliyekwisha kuteswa katika mwili ameachana na dhambi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 11:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 11:4Isaya 11Isaya 11:6 →