The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 36 › Yeremia 36:2

Yeremia 36:2

“Chukua kitabu uandike ndani yake maneno yote niliyonena nawe kuhusu Israeli, Yuda na mataifa mengine yote, tangu nilipoanza kunena nawe wakati wa utawala wa Yosia hadi sasa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Take thee a roll of a book, and write therein all the words that I have spoken unto thee against Israel, and against Judah, and against all the nations, from the day I spake unto thee, from the days of Josiah, even into this day.

In Context

1Katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia nabii Yeremia kutoka kwa Bwana, kusema:

3Labda watu wa Yuda watakaposikia juu ya kila maafa ninayokusudia kuwapiga nayo, kila mmoja wao atageuka kutoka njia zake mbaya, kisha nitasamehe uovu wao na dhambi yao.”

Read all of Yeremia 36

Cross References

Deuteronomy 31:24Baada ya Mose kumaliza kuandika kwenye kitabu maneno ya sheria hii kutoka mwanzo hadi mwisho,

Ezra 6:2Karatasi moja ndefu ya maandishi ilipatikana huko Ekbatana katika jimbo la Umedi. Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa humo: Kumbukumbu:

Psalms 40:7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu. 1

Isaiah 30:8Nenda sasa, liandike neno hili juu ya kibao kwa ajili yao, 2 liandike kwenye kitabu, 1 ili liweze kuwa shahidi milele 2 kwa ajili ya siku zijazo. 1

Jeremiah 1:5“Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nilikujua; 2 kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalum; 2 nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.”

Jeremiah 2:4Sikia neno la Bwana, ee nyumba ya Yakobo, 2 nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 36:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 36:1Yeremia 36Yeremia 36:3 →