The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:16

Yeremia 4:16

“Waambie mataifa jambo hili, 2 piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: 1 ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, 2 likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Make ye mention to the nations; behold, publish against Jerusalem, that watchers come from a far country, and give out their voice against the cities of Judah.

In Context

15Sauti inatangaza kutoka Dani, 2 ikipiga mbiu ya maafa kutoka vilima vya Efraimu. 1

17Wamemzunguka kama watu walindao shamba, 2 kwa sababu amefanya uasi dhidi yangu,’ ” 4 asema Bwana. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1

Jeremiah 2:15Simba wamenguruma; 2 wamemngurumia. 1 Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; 2 miji yake imeteketezwa, nayo imeachwa haina watu. 1

Jeremiah 5:6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia, 2 mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza, 1 chui atawavizia karibu na miji yao, 2 ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje, 1 kwa maana maasi yao ni makubwa, 2 na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 1

Jeremiah 6:18Kwa hiyo sikilizeni, enyi mataifa, 2 angalieni, enyi mashahidi, 2 lile litakalowatokea. 1

Jeremiah 6:22Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Tazama, jeshi linakuja 2 kutoka nchi ya kaskazini, 1 taifa kubwa linaamshwa 2 kutoka miisho ya dunia. 1

Jeremiah 16:6“Wakubwa na wadogo watakufa katika nchi hii. Hawatazikwa wala kuombolezewa, na hakuna atakayejikatakata au kunyoa nywele za kichwa chake kwa ajili yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:15Yeremia 4Yeremia 4:17 →