The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:17

Yeremia 4:17

Wamemzunguka kama watu walindao shamba, 2 kwa sababu amefanya uasi dhidi yangu,’ ” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As keepers of a field, are they against her round about; because she hath been rebellious against me, saith the LORD.

In Context

16“Waambie mataifa jambo hili, 2 piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: 1 ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, 2 likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda. 1

18“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe 2 yameleta haya juu yako. 1 Hii ndiyo adhabu yako. 2 Tazama jinsi ilivyo chungu! 2 Tazama jinsi inavyochoma moyo!” 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

2 Kings 25:1Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli, akiwa na jeshi lake lote, alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Akapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.

Nehemiah 9:30Kwa miaka mingi ulikuwa mvumilivu kwao. Kwa njia ya Roho wako ukawaonya kupitia manabii wako. Hata hivyo hawakujali, basi ukawatia mikononi mwa mataifa jirani.

Isaiah 1:20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1

Jeremiah 5:23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, 2 wamegeukia mbali na kwenda zao. 1

Jeremiah 6:3Wachungaji pamoja na makundi yao 2 watakuja dhidi yake; 1 watapiga mahema yao kumzunguka, 2 kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.” 1

Lamentations 1:8Yerusalemu ametenda dhambi sana 2 kwa hiyo amekuwa najisi. 1 Wote waliomheshimu wanamdharau, 2 kwa maana wameuona uchi wake. 1 Yeye mwenyewe anapiga kite 2 na kugeukia mbali. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:16Yeremia 4Yeremia 4:18 →