The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:24

Yeremia 4:24

Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I beheld the mountains, and, lo, they trembled, and all the hills moved lightly.

In Context

23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1

25Nilitazama, wala watu hawakuwepo; 2 kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

1 Kings 19:11Bwana akasema, “Toka nje ukasimame juu ya mlima mbele za Bwana, kwa kuwa Bwana yu karibu kupita hapo.” Kisha upepo mwingi na wenye nguvu ukapasua milima ile na kuvunjavunja miamba mbele za Bwana, lakini Bwana hakuwamo katika ule upepo. Baada ya upepo palikuwa na tetemeko la nchi, lakini Bwana hakuwamo kwenye lile tetemeko.

Psalms 77:18Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, 2 umeme wako wa radi ukaangaza dunia, 2 nchi ikatetemeka na kutikisika. 1

Psalms 114:4milima ilirukaruka kama kondoo dume, 2 vilima kama wana-kondoo. 1

Isaiah 13:13Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, 2 nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake 1 katika ghadhabu ya Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 katika siku ya hasira yake iwakayo. 1

Jeremiah 8:16Mkoromo wa farasi za adui 2 umesikika kuanzia Dani, 1 kwa mlio wa madume yao ya farasi, 2 nchi yote inatetemeka. 1 Wamekuja kuangamiza nchi na vyote vilivyomo, 2 mji na wote waishio ndani yake.” 1

Ezekiel 38:20Samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kondeni, kila kiumbe kitambaacho ardhini, na watu wote walio juu ya uso wa nchi watatetemeka mbele zangu. Milima itapinduka, majabali yatapasuka na kila ukuta utaanguka chini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:23Yeremia 4Yeremia 4:25 →