The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:25

Yeremia 4:25

Nilitazama, wala watu hawakuwepo; 2 kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I beheld, and, lo, there was no man, and all the birds of the heavens were fled.

In Context

24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1

26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa, 2 miji yake yote ilikuwa magofu 1 mbele za Bwana, 2 mbele ya hasira yake kali. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Jeremiah 9:10Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima 2 na kuomboleza kuhusu malisho ya jangwani. 1 Yamekuwa ukiwa, wala hakuna apitaye humo, 2 milio ya ngʼombe haisikiki. 1 Ndege wa angani wametoroka 2 na wanyama wamekimbia. 1

Hosea 4:3Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1

Zephaniah 1:3“Nitafagilia mbali watu na wanyama; 2 nitafagilia mbali ndege wa angani 2 na samaki wa baharini. 1 Wafanyao maovu watapata tu kokoto, 2 nami nitamkatilia mbali mwanadamu atoke katika dunia,” 4 asema Bwana. 1 Dhidi Ya Yuda 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:24Yeremia 4Yeremia 4:26 →