Yeremia 4:23
Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I beheld the earth, and, lo, it was without form, and void; and the heavens, and they had no light.
In Context
24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1
Cross References
Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.
Isaiah 24:19Dunia imepasuka, 2 dunia imechanika, 2 dunia imetikiswa kabisa. 1
Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1
Joel 2:30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Amos 8:9“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, 1 “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia 2 iwe giza wakati wa mchana mwangavu. 1
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)