The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 4 › Hosea 4:3

Hosea 4:3

Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shall the land mourn, and every one that dwelleth therein shall languish, with the beasts of the field, and with the fowls of heaven; yea, the fishes of the sea also shall be taken away.

In Context

2Kuna kulaani tu, uongo na uuaji, 2 wizi na uzinzi, 1 bila kuwa na mipaka, 2 nao umwagaji damu mmoja 2 baada ya mwingine. 1

4“Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, 2 mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, 1 kwa maana watu wako ni kama wale 2 waletao mashtaka dhidi ya kuhani. 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1

Jeremiah 4:27Hivi ndivyo Bwana asemavyo: 2 “Nchi yote itaharibiwa, 2 ingawa sitaiangamiza kabisa. 1

Jeremiah 9:9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 kwa taifa kama hili?” 1

Ezekiel 38:20Samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kondeni, kila kiumbe kitambaacho ardhini, na watu wote walio juu ya uso wa nchi watatetemeka mbele zangu. Milima itapinduka, majabali yatapasuka na kila ukuta utaanguka chini.

Amos 1:2Alisema: 1 “ Bwana ananguruma toka Sayuni, 2 pia ananguruma kutoka Yerusalemu; 1 malisho ya wachunga wanyama yanakauka, 2 kilele cha Karmeli kinanyauka.” 1 Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli

Amos 8:8“Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili, 2 nao wote waishio ndani mwake hawataomboleza? 1 Nchi yote itainuka kama Naili; 2 itapanda na kushuka kama mto wa Misri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:2Hosea 4Hosea 4:4 →