The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:27

Yeremia 4:27

Hivi ndivyo Bwana asemavyo: 2 “Nchi yote itaharibiwa, 2 ingawa sitaiangamiza kabisa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus hath the LORD said, The whole land shall be desolate; yet will I not make a full end.

In Context

26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa, 2 miji yake yote ilikuwa magofu 1 mbele za Bwana, 2 mbele ya hasira yake kali. 1

28Kwa hiyo dunia itaomboleza 2 na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, 1 kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, 2 nimeamua na wala sitageuka.” 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Leviticus 26:31Nitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu.

2 Chronicles 36:21Nchi ikaendelea kufurahia pumziko lake la Sabato, wakati wote wa kufanywa kwake ukiwa ilipumzika mpaka ile miaka sabini ilipotimia katika kutimiza neno la Bwana lililonenwa na Yeremia. 1 Koreshi Atangaza Uhuru Kwa Waliokuwa Uhamishoni (Ezra 1:1-4)

Isaiah 17:6Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki, 2 kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa, 1 kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni, 2 nne au tano katika matawi yazaayo sana,” 4 asema Bwana, Mungu wa Israeli. 1

Isaiah 24:3Dunia itaharibiwa kabisa 2 na kutekwa nyara kabisa. 4 Bwana amesema neno hili. 1

Jeremiah 5:10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, 2 lakini msiangamize kabisa. 1 Pogoeni matawi yake, 2 kwa kuwa watu hawa sio wa Bwana. 1

Jeremiah 7:34Nitazikomesha sauti za shangwe na furaha, na sauti za bwana arusi na bibi arusi katikati ya miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu, kwa sababu nchi itakuwa ukiwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:26Yeremia 4Yeremia 4:28 →