Yeremia 4:6
Onyesheni ishara ili kwenda Sayuni! 2 Kimbilieni usalama pasipo kuchelewa! 1 Kwa kuwa ninaleta maafa kutoka kaskazini, 2 maangamizi ya kutisha.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 1:13Neno la Bwana likanijia tena, “Unaona nini?” Nikajibu, “Naona chungu kinachochemka, kikiwa kimeinama kutoka kaskazini.”
Jeremiah 4:21Hata lini nitaendelea kuona bendera ya vita 2 na kusikia sauti za tarumbeta? 1
Jeremiah 6:22Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Tazama, jeshi linakuja 2 kutoka nchi ya kaskazini, 1 taifa kubwa linaamshwa 2 kutoka miisho ya dunia. 1
Jeremiah 21:7Baada ya hayo, nitamtia Sedekia mfalme wa Yuda, maafisa wake na watu wa mji huu ambao walinusurika tauni, upanga na njaa, mkononi mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli, na kwa adui zao wale wanaotafuta uhai wao. Atawaua kwa upanga; hatakuwa na rehema juu yao au huruma wala kuwasikitikia,’ asema Bwana.
Jeremiah 50:2“Tangazeni na mhubiri katikati ya mataifa, 2 twekeni bendera na mkahubiri; 2 msiache kitu chochote, bali semeni, 1 ‘Babeli utatekwa; 2 Beli ataaibishwa, 2 Merodaki atajazwa na hofu kuu. 1 Sanamu zake zitaaibishwa 2 na vinyago vyake vitajazwa hofu kuu.’ 1
Jeremiah 51:12Twekeni bendera juu ya kuta za Babeli! 2 Imarisheni ulinzi, 1 wekeni walinzi, 2 andaeni waviziao! 1 Bwana atatimiza kusudi lake, 2 amri yake juu ya watu wa Babeli. 1