Yeremia 39:11
Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akisema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.”
Cross References
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Jeremiah 15:21“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu, 2 na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”
Jeremiah 40:1Neno likamjia Yeremia kutoka kwa Bwana baada ya Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme kumfungua huko Rama. Alikuwa amemkuta Yeremia akiwa amefungwa kwa minyororo miongoni mwa mateka wote kutoka Yerusalemu na Yuda waliokuwa wakipelekwa uhamishoni Babeli.
Acts 24:23Ndipo akaamuru kiongozi wa askari amweke chini ya ulinzi lakini ampe uhuru na kuwaruhusu rafiki zake wamhudumie.