The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 44 › Yeremia 44:1

Yeremia 44:1

Neno hili lilimjia Yeremia kuhusu Wayahudi wote waishio Misri, huko Migdoli, Tahpanhesi na Memfisi, + 44:1 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. katika nchi ya Pathrosi + 44:1 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. kusema:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The word that came to Jeremiah concerning all the Jews which dwell in the land of Egypt, which dwell at Migdol, and at Tahpanhes, and at Noph, and in the country of Pathros, saying,

In Context

2“Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Mliona maangamizi makubwa niliyoyaleta juu ya Yerusalemu na juu ya miji yote ya Yuda. Leo imeachwa ukiwa na magofu

Read all of Yeremia 44

Cross References

Genesis 10:14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 1

Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

Jeremiah 2:16Pia watu wa Memfisi + 2:16 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi + 2:16 Tahpanhesi ni mji katika nchi ya Misri. 2 wamevunja taji ya kichwa chako. 1

Jeremiah 42:15basi sikieni neno la Bwana, enyi mabaki ya Yuda. Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Ikiwa mmekusudia kwenda Misri na kufanya makazi huko,

Jeremiah 43:7Kwa hiyo wakaingia Misri kwa kutokumtii Bwana, wakaenda mpaka Tahpanhesi.

Jeremiah 46:14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 44:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Yeremia 44Yeremia 44:2 →