Yeremia 44:2
“Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Mliona maangamizi makubwa niliyoyaleta juu ya Yerusalemu na juu ya miji yote ya Yuda. Leo imeachwa ukiwa na magofu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:32Nitaiharibu nchi, ili adui zenu watakaokuja kuishi humo washangae.
Deuteronomy 29:2Mose akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.
2 Kings 21:13Nitanyoosha juu ya Yerusalemu kamba ya kupimia iliyotumika dhidi ya Samaria, na timazi iliyotumika dhidi ya nyumba ya Ahabu. Nitaifutilia mbali Yerusalemu kama mtu afutaye sahani, nikiifuta na kuifunikiza.
Isaiah 24:12Mji umeachwa katika uharibifu, 2 lango lake limevunjwa vipande. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1
Jeremiah 8:3Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’ 1 Dhambi Na Adhabu