The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 47 › Yeremia 47:7

Yeremia 47:7

Lakini upanga utatuliaje 2 wakati Bwana ameuamuru, 1 wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni 2 pamoja na pwani yake?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How can it be quiet, seeing the LORD hath given it a charge against Ashkelon, and against the sea shore? there hath he appointed it.

In Context

6“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, 2 utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? 1 Rudi ndani ya ala yako; 2 acha na utulie.’ 1

Read all of Yeremia 47

Cross References

1 Samuel 15:3Basi sasa nenda ukawashambulie Waamaleki na kuwaangamiza kabisa pamoja na kila kitu kilicho mali yao. Usiwahurumie; waue wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ngʼombe na kondoo, ngamia na punda.’ ”

Isaiah 13:3Nimewaamuru watakatifu wangu; 2 nimewaita mashujaa wangu waitimize hasira yangu: 2 wale wanaoshangilia ushindi wangu. 1

Isaiah 45:1“Hili ndilo asemalo Bwana kwa mpakwa mafuta wake, 2 Koreshi, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume 1 kutiisha mataifa mbele yake 2 na kuwavua wafalme silaha zao, 1 kufungua milango mbele yake 2 ili malango yasije yakafungwa: 1

Ezekiel 14:17“Au kama nikileta upanga dhidi ya nchi hiyo na kusema, ‘Upanga na upite katika nchi yote,’ nami nikiua watu wake na wanyama wao,

Ezekiel 21:14“Hivyo basi, mwanadamu, tabiri 2 na ukapige makofi. 1 Upanga wako na upige mara mbili, 2 naam, hata mara tatu. 1 Ni upanga wa kuchinja, 2 upanga wa mauaji makuu, 2 ukiwashambulia kutoka kila upande. 1

Amos 3:6Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, 2 watu hawatetemeki? 1 Mji upatwapo na maafa, 2 je, si Bwana amesababisha? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 47:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 47:6Yeremia 47