The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:14

Ezekiel 21:14

“Hivyo basi, mwanadamu, tabiri 2 na ukapige makofi. 1 Upanga wako na upige mara mbili, 2 naam, hata mara tatu. 1 Ni upanga wa kuchinja, 2 upanga wa mauaji makuu, 2 ukiwashambulia kutoka kila upande. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou therefore, son of man, prophesy, and smite thine hands together, and let the sword be doubled the third time, the sword of the slain: it is the sword of the great men that are slain, which entereth into their privy chambers.

In Context

13“ ‘Kwa maana upanga huu umejaribiwa na kuhakikishwa, itakuwaje basi fimbo ya ufalme ya Yuda inayoudharau kama haitakuwepo tena, bali itakuwa imeondolewa kabisa? asema Bwana Mwenyezi.’ 1

15Ili mioyo ipate kuyeyuka 2 na wanaouawa wawe wengi, 1 nimeweka upanga wa kuchinja 2 kwenye malango yao yote. 1 Lo! Umetengenezwa 2 umetemete kama umeme wa radi, 2 umeshikwa kwa ajili ya kuua. 1

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Leviticus 26:21“ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.

Numbers 24:10Ndipo hasira ya Balaki ikawaka dhidi ya Balaamu. Akapiga mikono yake pamoja, akamwambia Balaamu, “Nilikuita uje kuwalaani adui zangu, lakini umewabariki mara hizi tatu.

1 Kings 22:25Mikaya akajibu, “Utagundua siku hiyo utakapokwenda kujificha kwenye chumba cha ndani.”

2 Kings 24:10Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja ili kuishambulia Yerusalemu, nao wakaizunguka kwa jeshi.

Jeremiah 47:7Lakini upanga utatuliaje 2 wakati Bwana ameuamuru, 1 wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni 2 pamoja na pwani yake?”

Ezekiel 8:12Akaniambia, “Mwanadamu, umeona wanayoyafanya wazee wa nyumba ya Israeli gizani, kila mmoja kwenye sehemu yake mwenyewe ya kufanyia ibada za sanamu yake? Wao husema, ‘ Bwana hatuoni, Bwana ameiacha nchi.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:13Ezekiel 21Ezekiel 21:15 →