Jeremiah 48:13
Kisha Moabu atamwonea aibu mungu wao Kemoshi, 2 kama vile nyumba ya Israeli walivyoona aibu 2 walipotegemea mungu wa Betheli. + 48:13 Betheli ina maana ya Nyumba ya Mungu; lakini pia ni mahali ambapo Mfalme Yeroboamu alisimamisha moja ya sanamu za ndama ili kuabudiwa; nyingine aliiweka huko Dani ( 1Fal 12:29-33 ). 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moab shall be ashamed of Chemosh, as the house of Israel was ashamed of Bethel their confidence.
In Context
14“Mwawezaje kusema, ‘Sisi ni mashujaa, 2 watu jasiri katika vita’? 1
Cross References
Judges 11:24Je, haikupasi kuchukua kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa? Vivyo hivyo, chochote kile Bwana Mungu wetu alichotupa sisi, tutakimiliki.
1 Kings 11:7Kwenye kilima mashariki mwa Yerusalemu, Solomoni akajenga mahali pa juu kwa ajili ya Kemoshi chukizo la Wamoabu, na kwa Moleki mungu chukizo la Waamoni.
1 Kings 12:29Ndama mmoja akamweka Betheli na mwingine Dani.
1 Kings 18:40Kisha Eliya akawaamuru, “Wakamateni hao manabii wa Baali. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakawakamata, naye Eliya akawaleta mpaka Bonde la Kishoni na kuwachinja huko.
Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1
Isaiah 45:16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1