Jeremiah 48:21
Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu: 2 katika Holoni, Yahasa na Mefaathi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And judgment is come upon the plain country; upon Holon, and upon Jahazah, and upon Mephaath,
In Context
22katika Diboni, Nebo 2 na Beth-Diblathaimu, 1
Cross References
Numbers 21:23Lakini Sihoni hakumruhusu Israeli apite katika nchi yake. Alilikutanisha jeshi lake lote, wakaondoka kwenda jangwani ili kupigana na Israeli. Alipofika huko Yahazi, akapigana na Israeli.
Joshua 13:17hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,
Joshua 21:36kutoka kabila la Reubeni walipewa 4 Bezeri, Yahasa,
Jeremiah 48:8Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, 2 wala hakuna mji utakaookoka. 1 Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, 2 kwa sababu Bwana amesema. 1
Zephaniah 2:9Hakika, kama niishivyo,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mungu wa Israeli, 1 “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma, 2 Waamoni kama Gomora: 1 mahali pa magugu na mashimo ya chumvi, 2 nchi ya ukiwa milele. 1 Mabaki ya watu wangu watawateka nyara; 2 mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.” 1