The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 2 › Sefania 2:9

Sefania 2:9

Hakika, kama niishivyo,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mungu wa Israeli, 1 “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma, 2 Waamoni kama Gomora: 1 mahali pa magugu na mashimo ya chumvi, 2 nchi ya ukiwa milele. 1 Mabaki ya watu wangu watawateka nyara; 2 mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore as I live, saith the LORD of hosts, the God of Israel, Surely Moab shall be as Sodom, and the children of Ammon as Gomorrah, even the breeding of nettles, and saltpits, and a perpetual desolation: the residue of my people shall spoil them, and the remnant of my people shall possess them.

In Context

8“Nimeyasikia matukano ya Moabu 2 nazo dhihaka za Waamoni, 1 ambao waliwatukana watu wangu 2 na kutoa vitisho dhidi ya nchi yao. 1

10Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao, 2 kwa kutukana na kudhihaki 2 watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Read all of Sefania 2

Cross References

Genesis 19:25Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi.

Deuteronomy 29:22Watoto wako watakaofuata baada yako katika vizazi vya baadaye na wageni ambao watakuja kutoka nchi za mbali, wataona maafa, yaliyoipata nchi na magonjwa ambayo Bwana aliyaleta juu yake.

Isaiah 11:14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti 2 hadi upande wa magharibi, 1 kwa pamoja watawateka watu nyara 2 hadi upande wa mashariki. 1 Watawapiga Edomu na Moabu, 2 na Waamoni watatawaliwa nao. 1

Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1

Isaiah 34:9Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, 2 mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, 2 nchi yake itakuwa lami iwakayo! 1

Jeremiah 46:18“Kwa hakika kama niishivyo,” asema Mfalme, 2 ambaye jina lake ni Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “mmoja atakuja ambaye ni kama Tabori miongoni mwa milima, 2 kama Karmeli kando ya bahari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 2:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 2:8Sefania 2Sefania 2:10 →