The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:32

Yeremia 48:32

Ninalia machozi kwa ajili yenu, kama Yazeri aliavyo, 2 enyi mizabibu ya Sibma. 1 Matawi yako yameenea hadi baharini; 2 yamefika hadi bahari ya Yazeri. 1 Mharabu ameyaangukia matunda yako yaliyoiva 2 na mizabibu yako iliyoiva. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O vine of Sibmah, I will weep for thee with the weeping of Jazer: thy plants are gone over the sea, they reach even to the sea of Jazer: the spoiler is fallen upon thy summer fruits and upon thy vintage.

In Context

31Kwa hiyo namlilia Moabu, 2 kwa ajili ya Moabu yote ninalia, 1 ninaomboleza kwa ajili 2 ya watu wa Kir-Haresethi. 1

33Shangwe na furaha vimetoweka 2 kutoka bustani na mashamba ya Moabu. 1 Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; 2 hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. 1 Ingawa kuna kelele, 2 sio kelele za shangwe. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

Numbers 21:32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko.

Numbers 32:3“Atarothi, Diboni, Yazeri, Nimra, Heshboni, Eleale, Sebamu, Nebo na Beoni,

Numbers 32:38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.

Joshua 21:39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Jeremiah 40:10Mimi mwenyewe nitakaa Mispa ili kuwawakilisha mbele ya Wakaldayo wanaotujia, lakini ninyi mtavuna divai, matunda ya kiangazi na mafuta, nanyi mtaweka katika vyombo vyenu vya kuhifadhia, na kuishi katika miji mliyojitwalia.”

Jeremiah 48:15Moabu ataangamizwa na miji yake itavamiwa, 2 vijana wake waume walio bora sana watachinjwa,” 1 asema Mfalme, ambaye jina lake 2 ni Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:31Yeremia 48Yeremia 48:33 →