The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:33

Yeremia 48:33

Shangwe na furaha vimetoweka 2 kutoka bustani na mashamba ya Moabu. 1 Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; 2 hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. 1 Ingawa kuna kelele, 2 sio kelele za shangwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And joy and gladness is taken from the plentiful field, and from the land of Moab; and I have caused wine to fail from the winepresses: none shall tread with shouting; their shouting shall be no shouting.

In Context

32Ninalia machozi kwa ajili yenu, kama Yazeri aliavyo, 2 enyi mizabibu ya Sibma. 1 Matawi yako yameenea hadi baharini; 2 yamefika hadi bahari ya Yazeri. 1 Mharabu ameyaangukia matunda yako yaliyoiva 2 na mizabibu yako iliyoiva. 1

34“Sauti ya kilio chao inapanda 2 kutoka Heshboni hadi Eleale na Yahazi, 1 kutoka Soari hadi Horonaimu na Eglath-Shelishiya, 2 kwa kuwa hata maji ya Nimrimu yamekauka. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

Isaiah 5:10Shamba la mizabibu la eka kumi 2 litatoa bathi + 5:10 Bathi moja ni sawa na lita 22. moja ya divai, 1 na homeri + 5:10 Homeri moja ni sawa na lita 220. ya mbegu zilizopandwa 2 itatoa efa + 5:10 Efa moja ni sawa na lita 22. moja tu ya nafaka.” 1

Isaiah 9:3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1

Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1

Jeremiah 25:9nitayaita mataifa yote ya kaskazini na mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli,” asema Bwana. “Nitawaleta waishambulie nchi hii na wakazi wake wote, na dhidi ya mataifa yote yanayowazunguka. Nitawaangamiza kabisa na kuwafanya kitu cha kuchukiwa na kudharauliwa, na kuwa magofu daima.

Joel 1:12Mzabibu umekauka 2 na mtini umenyauka; 1 mkomamanga, mtende na mtofaa, 2 miti yote shambani, imekauka. 1 Hakika furaha yote ya mwanadamu 2 imeondoka. 1 Wito Wa Toba 1

Haggai 2:16Wakati mtu alipoendea lundo la nafaka la vipimo ishirini, kulikuwa na vipimo kumi tu. Wakati mtu alipoendea pipa la mvinyo ili kuchota vipimo hamsini, kulikuwa na vipimo ishirini tu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:32Yeremia 48Yeremia 48:34 →