The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:44

Yeremia 48:44

“Yeyote atakayeikimbia hiyo hofu kuu 2 ataanguka ndani ya shimo, 1 yeyote atakayepanda kutoka shimoni, 2 atanaswa katika mtego, 1 kwa sababu nitaletea Moabu 2 mwaka wa adhabu yake,” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that fleeth from the fear shall fall into the pit; and he that getteth up out of the pit shall be taken in the snare: for I will bring upon it, even upon Moab, the year of their visitation, saith the LORD.

In Context

43Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, 2 enyi watu wa Moabu,” 4 asema Bwana. 1

45“Katika kivuli cha Heshboni, 2 wakimbizi wamesimama pasipo msaada, 1 kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; 1 unaunguza vipaji vya nyuso za Moabu, 2 mafuvu yao wenye kujivuna kwa kelele. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

1 Kings 19:17Yehu atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Elisha atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Yehu.

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

Isaiah 24:18Kila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu 2 atatumbukia shimoni, 1 naye yeyote apandaye kutoka shimoni, 2 atanaswa kwenye mtego. 1 Malango ya gharika ya mbinguni yamefunguliwa, 2 misingi ya dunia inatikisika. 1

Jeremiah 8:12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno? 2 Hapana, hawana aibu hata kidogo, 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini watakapoadhibiwa, 4 asema Bwana. 1

Jeremiah 11:23Hawatasaziwa hata mabaki kwao, kwa sababu nitaleta maafa kwa watu wa Anathothi katika mwaka wa adhabu yao.’ ”

Jeremiah 23:12“Kwa hiyo mapito yao yatakuwa utelezi, 2 watafukuziwa mbali gizani 2 na huko wataanguka. 1 Nitaleta maafa juu yao 2 katika mwaka wa kuadhibiwa kwao,” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:44

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:43Yeremia 48Yeremia 48:45 →