The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:19

Yeremia 49:19

“Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani 2 kuja kwenye nchi ya malisho mengi, 1 ndivyo nitamfukuza Edomu kutoka nchi yake ghafula. 2 Ni nani aliye mteule nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? 1 Ni nani aliye kama mimi, 2 na ni nani awezaye kunipinga? 1 Tena ni mchungaji yupi awezaye 2 kusimama kinyume nami?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, he shall come up like a lion from the swelling of Jordan against the habitation of the strong: but I will suddenly make him run away from her: and who is a chosen man, that I may appoint over her? for who is like me? and who will appoint me the time? and who is that shepherd that will stand before me?

In Context

18Kama vile Sodoma na Gomora zilivyoangamizwa, 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote atakayeishi humo. 2 Naam, hakuna mtu yeyote atakayekaa humo. 1

20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1

1 Chronicles 12:15Wao ndio walivuka Mto Yordani katika mwezi wa kwanza ukiwa umefurika hadi kwenye kingo zake zote na kusababisha watu wote waliokuwa wanaishi kwenye mabonde kukimbilia mashariki na wengine magharibi.

Job 9:19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! 2 Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 1

Job 23:3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1

Job 41:10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. 2 Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 1

Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:18Yeremia 49Yeremia 49:20 →