Ayubu 41:10
Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. 2 Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
None is so fierce that dare stir him up: who then is able to stand before me?
In Context
9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; 2 kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 1
Cross References
Genesis 49:9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1
Job 3:8Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, 2 wale walio tayari kumwamsha Lewiathani. + 3:8 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. 1
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Psalms 2:11Mtumikieni Bwana kwa hofu 2 na mshangilie kwa kutetemeka. 1
Ezekiel 8:17Akaniambia, “Je, umeona hili mwanadamu? Je, ni jambo dogo sana kwa nyumba ya Yuda kufanya machukizo wanayoyafanya hapa? Je, ni lazima pia waijaze nchi dhuluma na kuendelea siku zote kunikasirisha? Watazame wanavyonibania pua kana kwamba ninanuka!