The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:22

Yeremia 49:22

Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, he shall come up and fly as the eagle, and spread his wings over Bozrah: and at that day shall the heart of the mighty men of Edom be as the heart of a woman in her pangs.

In Context

21Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. 2 Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu. + 49:21 Kwa Kiebrania ni Bahari ya Mafunjo. 1

23Kuhusu Dameski: 1 “Hamathi na Arpadi imetahayarika, 2 kwa kuwa wamesikia habari mbaya. 1 Wamevunjika moyo na wametaabika 2 kama bahari iliyochafuka. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,

Isaiah 13:8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

Isaiah 26:17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1

Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”

Jeremiah 13:21Utasema nini Bwana atakapowaweka juu yako 2 wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? 1 Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke 2 aliye katika utungu wa kuzaa? 1

Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:21Yeremia 49Yeremia 49:23 →