The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:24

Yeremia 49:24

Dameski amedhoofika, 2 amegeuka na kukimbia, 2 hofu ya ghafula imemkamata sana; 1 amepatwa na uchungu na maumivu, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Damascus is waxed feeble, and turneth herself to flee, and fear hath seized on her: anguish and sorrows have taken her, as a woman in travail.

In Context

23Kuhusu Dameski: 1 “Hamathi na Arpadi imetahayarika, 2 kwa kuwa wamesikia habari mbaya. 1 Wamevunjika moyo na wametaabika 2 kama bahari iliyochafuka. 1

25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, 2 mji ambao ninaupenda? 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”

Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1

Jeremiah 49:22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski

Jeremiah 49:37Nitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao, 2 mbele yao wale wanaotafuta uhai wao; 1 nitaleta maafa juu yao, 2 naam, hasira yangu kali,” 4 asema Bwana. 1 “Nitawafuatia kwa upanga 2 mpaka nitakapowamaliza. 1

Hosea 13:13Utungu kama wa mwanamke anayejifungua mtoto humjia, 2 lakini yeye ni mtoto asiyekuwa na hekima; 1 wakati utakapowadia hatatoka 2 katika tumbo la mama yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:23Yeremia 49Yeremia 49:25 →