The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:31

Yeremia 49:31

“Inuka na ulishambulie taifa lililo starehe, 2 linaloishi kwa kujiamini,” 4 asema Bwana, 1 “taifa lisilo na malango wala makomeo; 2 watu wake huishi peke yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Arise, get you up unto the wealthy nation, that dwelleth without care, saith the LORD, which have neither gates nor bars, which dwell alone.

In Context

30“Kimbieni haraka! 2 Kaeni kwenye mapango marefu sana, ninyi mkaao Hazori,” 4 asema Bwana. 2 “Nebukadneza, mfalme wa Babeli amepanga shauri baya dhidi yenu; 2 amebuni hila dhidi yenu. 1

32Ngamia wao watakuwa nyara, 2 nayo makundi yao makubwa ya ngʼombe yatatekwa. 1 Wale walio maeneo ya mbali 2 nitawatawanya pande zote, 1 nami nitaleta maafa juu yao 2 kutoka kila upande,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Numbers 23:9Kutoka vilele vya miamba ninawaona, 2 kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. 1 Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, 2 nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa. 1

Judges 18:7Basi hao watu watano wakaondoka na kufika Laishi, mahali ambapo waliwakuta watu wanaishi salama, kama Wasidoni, kwa utulivu na bila mashaka. Nchi yao haikupungukiwa na kitu chochote, hivyo wakawa tajiri. Pia walikaa mbali sana na Wasidoni, wala hawakushughulika na mtu yeyote.

Psalms 123:4Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, 2 dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.

Isaiah 32:11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1

Jeremiah 48:11“Moabu amestarehe tangu ujana wake, 2 kama divai iliyoachwa kwenye machujo yake, 1 haikumiminwa kutoka chombo kimoja hadi kingine, 2 hajaenda uhamishoni. 1 Kwa hiyo ana ladha ile ile kama aliyokuwa nayo, 2 nayo harufu yake haijabadilika. 1

Ezekiel 38:11Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina maboma. Nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita: wote wanaishi bila maboma na bila malango na makomeo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:30Yeremia 49Yeremia 49:32 →