Yeremia 49:33
“Hazori itakuwa makao ya mbweha, 2 mahali pa ukiwa milele. 1 Hakuna yeyote atakayeishi humo; 2 hakuna mtu atakayekaa ndani yake.” 1 Ujumbe Kuhusu Elamu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 34:13Miiba itaenea katika ngome za ndani, 2 viwawi na michongoma itaota 2 kwenye ngome zake. 1 Itakuwa maskani ya mbweha, 2 makao ya bundi. 1
Jeremiah 9:11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, 2 makao ya mbweha; 1 nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa 2 ili asiwepo atakayeishi humo.”
Jeremiah 49:17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; 2 wote wapitao karibu 1 watashangaa na kuzomea 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Jeremiah 50:39“Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, 2 nao bundi watakaa humo. 1 Kamwe haitakaliwa tena 2 wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi. 1
Zephaniah 2:9Hakika, kama niishivyo,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mungu wa Israeli, 1 “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma, 2 Waamoni kama Gomora: 1 mahali pa magugu na mashimo ya chumvi, 2 nchi ya ukiwa milele. 1 Mabaki ya watu wangu watawateka nyara; 2 mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.” 1