Yeremia 49:35
Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Tazama, nitavunja upinde wa Elamu, 2 ulio tegemeo la nguvu zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the LORD of hosts; Behold, I will break the bow of Elam, the chief of their might.
In Context
Cross References
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Isaiah 22:6Elamu analichukua podo, 2 pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. 2 Kiri anaifungua ngao. 1
Jeremiah 50:29“Waiteni wapiga mishale dhidi ya Babeli, 2 wote wale wavutao upinde. 1 Pigeni kambi kumzunguka kabisa, 2 asitoroke mtu yeyote. 1 Mlipizeni kwa matendo yake; 2 mtendeeni kama alivyotenda. 1 Kwa kuwa alimdharau Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1