The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 49 › Yeremia 49:36

Yeremia 49:36

Nitaleta pepo nne dhidi ya Elamu 2 toka pande nne za mbingu, 1 nitawatawanya katika hizo pande nne, 2 wala hapatakuwa na taifa 1 ambalo watu wa Elamu waliofukuzwa 2 hawatakwenda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And upon Elam will I bring the four winds from the four quarters of heaven, and will scatter them toward all those winds; and there shall be no nation whither the outcasts of Elam shall not come.

In Context

35Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Tazama, nitavunja upinde wa Elamu, 2 ulio tegemeo la nguvu zao. 1

37Nitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao, 2 mbele yao wale wanaotafuta uhai wao; 1 nitaleta maafa juu yao, 2 naam, hasira yangu kali,” 4 asema Bwana. 1 “Nitawafuatia kwa upanga 2 mpaka nitakapowamaliza. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Deuteronomy 28:25Bwana atakufanya ushindwe mbele ya adui zako. Utawajia kwa njia moja lakini utawakimbia mbele yao kwa njia saba, nawe utakuwa kitu cha kuchukiza kwa falme zote za dunia.

Psalms 147:2Bwana hujenga Yerusalemu, 2 huwakusanya Israeli walio uhamishoni. 1

Isaiah 16:3“Tupeni shauri, 2 toeni uamuzi. 1 Wakati wa adhuhuri, 2 fanyeni kivuli chenu kama usiku. 1 Waficheni watoro, 2 msisaliti wakimbizi. 1

Isaiah 56:8Bwana Mwenyezi asema, yeye awakusanyaye 2 Waisraeli waliohamishwa: 1 “Bado nitawakusanya wengine kwao 2 zaidi ya hao ambao wamekusanywa tayari.” 1 Mashtaka Ya Mungu Dhidi Ya Waovu 1

Jeremiah 49:32Ngamia wao watakuwa nyara, 2 nayo makundi yao makubwa ya ngʼombe yatatekwa. 1 Wale walio maeneo ya mbali 2 nitawatawanya pande zote, 1 nami nitaleta maafa juu yao 2 kutoka kila upande,” 4 asema Bwana. 1

Ezekiel 5:12Theluthi ya watu wako watakufa kwa tauni au kwa njaa humu ndani yako, theluthi nyingine itaanguka kwa upanga nje ya kuta zako, nayo theluthi nyingine nitaitawanya kwenye pande nne kuwafuatia kwa upanga uliofutwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:35Yeremia 49Yeremia 49:37 →