The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:6

Isaiah 22:6

Elamu analichukua podo, 2 pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. 2 Kiri anaifungua ngao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Elam bare the quiver with chariots of men and horsemen, and Kir uncovered the shield.

In Context

5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayo siku 2 ya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofya 2 katika Bonde la Maono, 1 siku ya kuangusha kuta 2 na ya kupiga kelele mpaka milimani. 1

7Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, 2 nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji; 2

Read all of Isaiah 22

Cross References

Genesis 10:22Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1

Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

Isaiah 21:2Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1

Amos 1:5Nitalivunja lango la Dameski; 2 nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni, + 1:5 Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu. 1 na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. 2 Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” 4 asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 22:5Isaiah 22Isaiah 22:7 →