Yeremia 49:38
Nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu 2 na kumwangamiza mfalme wake na maafisa wake,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
39“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu 2 katika siku zijazo,” 4 asema Bwana.
Cross References
Psalms 9:5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; 2 umeyafuta majina yao milele na milele. 1
Daniel 7:9“Nilipoendelea kutazama, 1 “viti vya enzi vikawekwa, 2 naye Mzee wa Siku akaketi. 1 Mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji; 2 nywele za kichwa chake zilikuwa nyeupe kama sufu. 1 Kiti chake cha enzi kilikuwa kinawaka kwa miali ya moto, 2 nayo magurudumu yake yote yalikuwa yanawaka moto. 1