Jeremiah 49:39
“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu 2 katika siku zijazo,” 4 asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.
Jeremiah 49:6“Lakini hatimaye, 2 nitarudisha mateka wa Waamoni,” 4 asema Bwana. 1 Ujumbe Kuhusu Edomu
Ezekiel 29:14Nitawarudisha hao Wamisri kutoka kwenye kutekwa kwao na kuwaweka katika Pathrosi, + 29:14 Pathrosi ni Misri ya Juu. nchi ya baba zao. Huko watakuwa na ufalme usiokuwa na nguvu.
Ezekiel 39:25“Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Sasa nitamrudisha Yakobo kutoka utumwani, nami nitawahurumia watu wote wa Israeli, nami nitakuwa na wivu kwa ajili ya Jina langu takatifu.
Daniel 10:14Sasa nimekuja kukuelezea mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Amos 9:14Nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa; 2 wataijenga tena miji iliyoachwa magofu, 2 nao wataishi ndani mwake. 1 Watapanda mizabibu na kunywa divai yake; 2 watalima bustani na kula matunda yake. 1