Yeremia 49:37
Nitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao, 2 mbele yao wale wanaotafuta uhai wao; 1 nitaleta maafa juu yao, 2 naam, hasira yangu kali,” 4 asema Bwana. 1 “Nitawafuatia kwa upanga 2 mpaka nitakapowamaliza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 48:4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, 2 waliposonga mbele pamoja, 1
Jeremiah 9:16Nitawatawanya katika mataifa ambayo wao wala baba zao hawakuwajua, nikiwafuata kwa upanga mpaka niwe nimewaangamiza kabisa.”
Jeremiah 34:20nitawatia mikononi mwa adui zao wanaotafuta uhai wao. Maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.
Jeremiah 48:39“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika! 2 Jinsi wanavyolia kwa huzuni! 1 Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu! 2 Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa, 1 kitu cha kutisha kwa wale wote 2 wanaomzunguka.”
Jeremiah 49:22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski
Jeremiah 49:29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; 2 vibanda vyao vitatwaliwa 2 pamoja na mali zao zote na ngamia zao. 1 Watu watawapigia kelele, 2 ‘Hofu kuu iko kila upande!’ 1