The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 5 › Yeremia 5:4

Yeremia 5:4

Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; 2 wao ni wapumbavu, 1 kwa maana hawaijui njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore I said, Surely these are poor; they are foolish: for they know not the way of the LORD, nor the judgment of their God.

In Context

3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1

5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1

Read all of Yeremia 5

Cross References

Isaiah 28:9“Yeye anajaribu kumfundisha nani? 2 Yeye anamwelezea nani ujumbe wake? 1 Je, ni kwa watoto walioachishwa kunyonya? 2 Je, ni wale ambao ndipo tu wametolewa matitini? 1

Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1

Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1

Matthew 11:5Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 5:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 5:3Yeremia 5Yeremia 5:5 →