Yeremia 51:13
Wewe uishiye kando ya maji mengi 2 na uliye na wingi wa hazina, 1 mwisho wako umekuja, 2 wakati wako wa kukatiliwa mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:13Kwa hiyo Mungu akamwambia Noa, “Nitawaangamiza watu wote, kwa kuwa dunia imejaa ukatili kwa sababu yao. Hakika mimi nitaangamiza watu pamoja na dunia.
Isaiah 45:3Nitakupa hazina za gizani, 2 mali zilizofichwa mahali pa siri, 1 ili upate kujua ya kwamba Mimi ndimi Bwana, 2 Mungu wa Israeli, akuitaye kwa jina lako. 1
Jeremiah 50:27Waueni mafahali wake wachanga wote; 2 waacheni washuke machinjoni! 1 Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, 2 wakati wao wa kuadhibiwa. 1
Jeremiah 50:37Upanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita 2 pamoja na askari wake wote wa kigeni katika safu zake! 2 Wao watakuwa kama wanawake. 1 Upanga dhidi ya hazina zake! 2 Hizo zitatekwa nyara. 1
Lamentations 4:18Watu walituvizia katika kila hatua 2 hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu. 1 Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, 2 kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika. 1
Daniel 5:26“Hii ndiyo maana ya maneno haya: 1 “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 1