Genesis 6:13
Kwa hiyo Mungu akamwambia Noa, “Nitawaangamiza watu wote, kwa kuwa dunia imejaa ukatili kwa sababu yao. Hakika mimi nitaangamiza watu pamoja na dunia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Cross References
Genesis 6:11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Genesis 49:5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: 2 panga zao ni silaha za jeuri. 1
Jeremiah 51:13Wewe uishiye kando ya maji mengi 2 na uliye na wingi wa hazina, 1 mwisho wako umekuja, 2 wakati wako wa kukatiliwa mbali. 1
Hosea 4:1Sikieni neno la Bwana, enyi Waisraeli, 2 kwa sababu Bwana analo shtaka 2 dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi: 1 “Hakuna uaminifu, hakuna upendo, 2 hakuna kumjua Mungu katika nchi. 1
Hebrews 11:7Kwa imani, Noa alipoonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo hayajaonekana bado, kwa kumcha Mungu alitengeneza safina ili kuokoa jamaa yake. Kwa imani yake aliuhukumu ulimwengu na akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani. 1 Imani Ya Abrahamu
2 Peter 3:6Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.